Utangulizi wa Somo: Uovu ni mambo yoyote
mabaya yanayotendwa na yanayofanywa na watu waovu. Ikumbukwe kuwa 'Waovu ni
Watu'. Anaweza akawa mtu yoyote yule awe ndugu, mama au baba. Hawa watu
wanaufanya uovu na siku haiishi bila kufanya uovu. Furaha ya muovu inaonekana
pale anapofanya uovu wake!!. Imeandikwa katika METHALI 2:14-15… [Wafurahio
kutenda mabaya; Wapendezwao na upotoe wa waovu; 15 Waliopotoka katika njia zao;
Walio wakaidi katika mapito yao.]…kwani Mungu aliwaumba watu ili wafanye uovu?
Jibu ni hapana. Ila kwa sababu ya hila za watu, kupotoka kwa watu na tamaa za
watu wakaamua kumtafuta mfamle wa uovu wakaungana naye ili wafanye uovu. Imeandikwa
katika YEREMIA 5:26… [Maana katika watu wangu wameonekana watu waovu; huotea
kama vile watu wategao mitego; hutega mtego, na kunasa watu..]… Imeandikwa pia
katika 1TIMOTHEO 5:15….[Kwa maana wengine wamekwisha kugeuka na kumfuata
Shetani.].. Kinachosababisha ni tamaa za watu na chuki za watu. Watu wengine
huwa wanaamua waende kanisani wakisema ‘nikatafute kiti nikae kanisani, niandae
Bibilia yangu nimsikilize mchungaji nitoke nitakuwa sawa’… Hiyo ni sawa lakini
si sawa sana…Lakini wakati wanaposoma neno na kulitafakari ndipo watakaa sawa.
Ni jukumu la kila mtu kuwa na bidii ya kusikiliza mahubiri kwa bidii na
kuyatafakari. Kwenye hili, jitihada ya kuingia ndani ya neno ni ya kila mtu.
Kumbe sio lengo la Mungu kuwaumba watu ili wawe waovu, watu walipokuja duniani
ila kwa hila zao, tamaa zao na chuki zao wakaaamua waungane na mfalme wa uovu
ili waufanye uovu Kabla ya kutuma uovu wanaanza kwanza kujadili uovu huu
utakuwa upi na nani watakaoupeleka na namna ya kuupeleka wanakotaka uende.
Lazima wanafahamu kwanza huyo mtu Watu hawa wanaweza wakawa ni ndugu zako,
wakati mwingine wanaweza wasiwe ndugu wa karibu, kama haajamfahamu huyu mtu
wanatuma wapelelezi, wajue unachofanya kila wakati, baada ya hapo wanarudisha
taarifa kwenye vikao vyake, wakati wa bidii, wakati wa kuchoka na kila maneno
wanayooongea, kwa hiyo wakishafahamu wanaamua kutuma saa ukiwa na udhaifu.
UKIRI Baba Mungu katika jina la Yesu kama kuna wapelelezi wametumwa kwenye
maisha yangu nawakataa kwa jina la Yesu. Kwa jina la Yesu ikiwa kuna wapepelezi
wametumwa kutokea katika vikao vya waovu nawasambaratisha kwa jina la Yesu.
Amen Imeandikwa katika injili ya Luka kwamba kulikuwa na wapelelezi waliokuwa
wanamviziavizia Yesu. Nakataa kwa jina la mtu yeyeyote anayenivizia
anayenipekeleza ili anijue mchana huu wa leo nakataa kwa Jina la Yesu Kristo wa
Nazarethi. Hawa wapelelezi hawaleti tukio ila wanatafuta kukujua. Baada ya hapo
wanarudi kwenye kikao chao wanatoa taarifa. Mfano Musa aliwatuma wapelelezi
kwenye nchi ile ni nchi ya namna gani, watu wa namna gani, wanapigana je n.k.
Kati ya hao kulikuwa na makundi mawili ambayo walirudisha majibu kwa namna ya
rohoni na namna ya mwilini. Hata wapelelezi wanachaguliwa wenye akili ya kuona
mbali, nani ana uwezo wa kugeuka akaja kwako kama rafiki, au mtu wa karibu…
wana akili sana. Na hawa wapelelezi wanaotumwa huwa wanalipwa. Mfano pepo
unaweza ukaliambia toka likakataa kwa sababu limeahidiwa malipo baada ya kazi
hiyo. Hawa Wapelelezi wanatafuta kukufahamu. Mfano Hamani alikuwa na shida na
Mordekai hivyo Hamani akatafuta watu akawalipa ili wampekeleze Mordekai.
Immeandikwa katika ESTA3:1-5..[Baada ya hayo mfalme Ahasuero alimwongezea cheo
Hamani bin Hamedatha, Mwagagi, akampandisha, akamwekea kiti chake juu ya
maakida wote waliokuwapo pamoja naye. 2 Nao watumishi wote wa mfalme, walioketi
mlangoni pa mfalme, wakainama na kumsujudia Hamani, maana ndivyo alivyoamuru
mfalme kwa habari zake. Bali Mordekai hakuinama, wala kumsujudia. 3 Basi
watumishi wa mfalme walioketi mlangoni pa mfalme wakamwambia Mordekai, Mbona
wewe waihalifu amri ya mfalme? 4 Ikawa, waliposema naye kila siku
asiwasikilize, wakamwarifu Hamani, ili kuona kama mambo yake Mordekai
yatasimama; maana alikuwa amewaambia ya kuwa yeye ni Myahudi. 5 Hata Hamani
alipoona ya kwamba Mordekai hainami wala kumsujudia, alighadhibika sana.]…
Kumbuka Hata shetani alitaka Yesu amuainamie. Hamani alipelekewa taarifa kuwa
Mordekai huwa hainami kila anapopita. Hamani akajaribu kupita wote waliinama
lakini Mordekai hakuinama na Hamani akajua kuwa huyu Mordekai hayupo peke yake.
Wana wa Israel wametolewa Misri wanapekwa Kaanani wapetishwa jangwani nguo
walizovaa hazikuisha wala kuchafuka wala viatu. Mungu huyu ni wa ajabu. Hamani
aliamua ili ainamiwe vizuri alimua na kupanga kuwaangamiza Wayahudi pamoja na
Mordekai. Alifanya haya yote kwa sababu ya wivu na kupenda sifa. Kumbuka kuwa
anayesimamisha mambo siyo Mordekai bali anayesimamisha mambo ni aliye nyuma ya
Mordekai (Mzee wa siku.) Wapo wale walioesema “tuone kama ataolewa”, “kama
biashara yake itaendelea”, “kama atamaliza chuo” n.k….. Kumbbuka kuwa kuona
wataona lakini hawatapata. Ni kweli utaona lakini sio yale unayoyawaza; ila
utaona kivingine.. ESTA 3:5-13…[ 5 Hata Hamani alipoona ya kwamba Mordekai
hainami wala kumsujudia, alighadhibika sana. 6 Akaona si shani kumtia mikono
Mordekai peke yake; maana wamemjulisha kabila yake Mordekai; kwa hiyo Hamani
alitaka kuwaangamiza Wayahudi wote waliokuwa wakikaa katika ufalme wote mzima
wa Ahasuero, yaani, watu wake Mordekai. 7 Basi mwezi wa kwanza, ndio mwezi wa
Nisani, mwaka wa kumi na mbili wa mfalme Ahasuero, wakapiga Puri, yaani kura,
mbele yake Hamani; siku kwa siku, na mwezi kwa mwezi, hata mwezi wa kumi na
mbili, ndio mwezi wa Adari. 8 Basi Hamani akamwambia mfalme Ahasuero, Kuna
taifa moja waliotawanyika na kukaa mahali mahali katikati ya mataifa walioko
katika majimbo yote ya ufalme wako. Nao sheria zao zimefarakana na sheria za
kila taifa; wala hawazishiki amri za mfalme; kwa hiyo haimpasi mfalme
kuchukuliana nao. 9 Basi, mfalme akiona vema, na iandikwe kwamba waangamizwe;
nami nitalipa talanta kumi elfu za fedha mikononi mwao watakaosimamia shughuli
hiyo, waziweke katika hazina ya mfalme. 10 Ndipo mfalme alipoivua pete yake
mkononi, akampa Hamani bin Hamedatha, Mwagagi, adui ya Wayahudi. 11 Kisha
mfalme akamwambia Hamani, Hiyo fedha umepewa, na watu pia, fanya uonavyo vema.
12 Basi, waandishi wa mfalme wakaitwa, siku ya kumi na tatu ya mwezi wa kwanza;
na barua zikaandikwa, kama vile Hamani alivyoagiza vyote, kwa maakida wa
mfalme, na maliwali waliokuwa juu ya kila jimbo, na wakuu wa kila taifa; kila
jimbo kwa mwandiko wake, na kila taifa kwa lugha yake; zikaandikwa kwa jinsi la
mfalme Ahasuero, na kutiwa muhuri kwa pete yake. 13 Barua zikapelekwa kwa
mikono ya matarishi mpaka majimbo yote ya mfalme kuwaangamiza Wayahudi wote, na
kuwaua, na kuwafisha, vijana kwa wazee, watoto wachanga na wanawake pia, siku
moja, yaani, siku ya kumi na tatu ya mwezi wa kumi na mbili ndio mwezi wa
Adari; na kuyachukua mali yao kuwa nyara.]… Hawa wapelelezi huwa wanalipwa.
Unaona Hamani alikuwa tayari kulipa watakaochaguliwa na mfamle Ahusuero
kuwangamiza Wayuhudi… Sio kila mtu huwa anakuwa katika vikao vya uovu…ila
anachagua walio karibu na mkeo. Je Una mke bingwa wa kutoa mawazo.? Je yote
huwa uanayafanyia kazi? UKIRI Kwa jina la Yesu ninaugeza mauovu waliyoyachilia
kwangu urudi kwao walioutuma. Marafiki waliokusanya kwa ajili yangu wakakaa ili
kuniharibia kikao hicho nakisambaratisha kwa Jina la Yesu. Amen Tunapoungumzia
vikao kuna vikao vya aina mbili vya kiroho na kimwili. UKIRI Kwa mamlaka ya
jina la Yesu nasambaratisha vikao vyote vya uovu kwa jina la Yesu na yote
yaliopangwa yawapate wao. Kwa jina la yesu kila aliye kaa kwenye kikao mabaya
yote ywapate wao kwa jina la YESU. Amen
Na: DR. GODSON ISSA
ZACHARIA (SNP
AMOS KOMBA (RP), UFUFUO NA UZIMA.
Utangulizi wa Somo: Uovu ni mambo yoyote mabaya yanayotendwa na
yanayofanywa na watu waovu. Ikumbukwe kuwa 'Waovu ni Watu'. Anaweza
akawa mtu yoyote yule awe ndugu, mama au baba. Hawa watu wanaufanya
uovu na siku haiishi bila kufanya uovu. Furaha ya muovu inaonekana pale
anapofanya uovu wake!!.
Imeandikwa katika METHALI 2:14-15… [Wafurahio kutenda mabaya;
Wapendezwao na upotoe wa waovu; 15 Waliopotoka katika njia zao; Walio
wakaidi katika mapito yao.]…kwani Mungu aliwaumba watu ili wafanye uovu?
Jibu ni hapana. Ila kwa sababu ya hila za watu, kupotoka kwa watu na
tamaa za watu wakaamua kumtafuta mfamle wa uovu wakaungana naye ili
wafanye uovu.
Imeandikwa katika YEREMIA 5:26… [Maana katika watu wangu wameonekana
watu waovu; huotea kama vile watu wategao mitego; hutega mtego, na
kunasa watu..]…
Imeandikwa pia katika 1TIMOTHEO 5:15….[Kwa maana wengine wamekwisha
kugeuka na kumfuata Shetani.]..
Kinachosababisha ni tamaa za watu na chuki za watu.
Watu wengine huwa wanaamua waende kanisani wakisema ‘nikatafute kiti
nikae kanisani, niandae Bibilia yangu nimsikilize mchungaji nitoke
nitakuwa sawa’… Hiyo ni sawa lakini si sawa sana…Lakini wakati
wanaposoma neno na kulitafakari ndipo watakaa sawa. Ni jukumu la kila
mtu kuwa na bidii ya kusikiliza mahubiri kwa bidii na kuyatafakari.
Kwenye hili, jitihada ya kuingia ndani ya neno ni ya kila mtu.
Kumbe sio lengo la Mungu kuwaumba watu ili wawe waovu, watu walipokuja
duniani ila kwa hila zao, tamaa zao na chuki zao wakaaamua waungane na
mfalme wa uovu ili waufanye uovu
Kabla ya kutuma uovu wanaanza kwanza kujadili uovu huu utakuwa upi na
nani watakaoupeleka na namna ya kuupeleka wanakotaka uende. Lazima
wanafahamu kwanza huyo mtu
Watu hawa wanaweza wakawa ni ndugu zako, wakati mwingine wanaweza wasiwe
ndugu wa karibu, kama haajamfahamu huyu mtu wanatuma wapelelezi, wajue
unachofanya kila wakati, baada ya hapo wanarudisha taarifa kwenye vikao
vyake, wakati wa bidii, wakati wa kuchoka na kila maneno wanayooongea,
kwa hiyo wakishafahamu wanaamua kutuma saa ukiwa na udhaifu.
UKIRI
Baba Mungu katika jina la Yesu kama kuna wapelelezi wametumwa kwenye
maisha yangu nawakataa kwa jina la Yesu. Kwa jina la Yesu ikiwa kuna
wapepelezi wametumwa kutokea katika vikao vya waovu nawasambaratisha kwa
jina la Yesu. Amen
Imeandikwa katika injili ya Luka kwamba kulikuwa na wapelelezi waliokuwa
wanamviziavizia Yesu. Nakataa kwa jina la mtu yeyeyote anayenivizia
anayenipekeleza ili anijue mchana huu wa leo nakataa kwa Jina la Yesu
Kristo wa Nazarethi.
Hawa wapelelezi hawaleti tukio ila wanatafuta kukujua. Baada ya hapo
wanarudi kwenye kikao chao wanatoa taarifa. Mfano Musa aliwatuma
wapelelezi kwenye nchi ile ni nchi ya namna gani, watu wa namna gani,
wanapigana je n.k. Kati ya hao kulikuwa na makundi mawili ambayo
walirudisha majibu kwa namna ya rohoni na namna ya mwilini.
Hata wapelelezi wanachaguliwa wenye akili ya kuona mbali, nani ana uwezo
wa kugeuka akaja kwako kama rafiki, au mtu wa karibu… wana akili sana.
Na hawa wapelelezi wanaotumwa huwa wanalipwa. Mfano pepo unaweza
ukaliambia toka likakataa kwa sababu limeahidiwa malipo baada ya kazi
hiyo.
Hawa Wapelelezi wanatafuta kukufahamu. Mfano Hamani alikuwa na shida na
Mordekai hivyo Hamani akatafuta watu akawalipa ili wampekeleze
Mordekai.
Immeandikwa katika ESTA3:1-5..[Baada ya hayo mfalme Ahasuero
alimwongezea cheo Hamani bin Hamedatha, Mwagagi, akampandisha, akamwekea
kiti chake juu ya maakida wote waliokuwapo pamoja naye. 2 Nao watumishi
wote wa mfalme, walioketi mlangoni pa mfalme, wakainama na kumsujudia
Hamani, maana ndivyo alivyoamuru mfalme kwa habari zake. Bali Mordekai
hakuinama, wala kumsujudia. 3 Basi watumishi wa mfalme walioketi
mlangoni pa mfalme wakamwambia Mordekai, Mbona wewe waihalifu amri ya
mfalme? 4 Ikawa, waliposema naye kila siku asiwasikilize, wakamwarifu
Hamani, ili kuona kama mambo yake Mordekai yatasimama; maana alikuwa
amewaambia ya kuwa yeye ni Myahudi. 5 Hata Hamani alipoona ya kwamba
Mordekai hainami wala kumsujudia, alighadhibika sana.]… Kumbuka Hata
shetani alitaka Yesu amuainamie. Hamani alipelekewa taarifa kuwa
Mordekai huwa hainami kila anapopita. Hamani akajaribu kupita wote
waliinama lakini Mordekai hakuinama na Hamani akajua kuwa huyu Mordekai
hayupo peke yake.
Wana wa Israel wametolewa Misri wanapekwa Kaanani wapetishwa jangwani
nguo walizovaa hazikuisha wala kuchafuka wala viatu. Mungu huyu ni wa
ajabu. Hamani aliamua ili ainamiwe vizuri alimua na kupanga
kuwaangamiza Wayahudi pamoja na Mordekai. Alifanya haya yote kwa sababu
ya wivu na kupenda sifa. Kumbuka kuwa anayesimamisha mambo siyo
Mordekai bali anayesimamisha mambo ni aliye nyuma ya Mordekai (Mzee wa
siku.)
Wapo wale walioesema “tuone kama ataolewa”, “kama biashara yake
itaendelea”, “kama atamaliza chuo” n.k….. Kumbbuka kuwa kuona wataona
lakini hawatapata. Ni kweli utaona lakini sio yale unayoyawaza; ila
utaona kivingine..
ESTA 3:5-13…[ 5 Hata Hamani alipoona ya kwamba Mordekai hainami wala
kumsujudia, alighadhibika sana. 6 Akaona si shani kumtia mikono Mordekai
peke yake; maana wamemjulisha kabila yake Mordekai; kwa hiyo Hamani
alitaka kuwaangamiza Wayahudi wote waliokuwa wakikaa katika ufalme wote
mzima wa Ahasuero, yaani, watu wake Mordekai. 7 Basi mwezi wa kwanza,
ndio mwezi wa Nisani, mwaka wa kumi na mbili wa mfalme Ahasuero,
wakapiga Puri, yaani kura, mbele yake Hamani; siku kwa siku, na mwezi
kwa mwezi, hata mwezi wa kumi na mbili, ndio mwezi wa Adari. 8 Basi
Hamani akamwambia mfalme Ahasuero, Kuna taifa moja waliotawanyika na
kukaa mahali mahali katikati ya mataifa walioko katika majimbo yote ya
ufalme wako. Nao sheria zao zimefarakana na sheria za kila taifa; wala
hawazishiki amri za mfalme; kwa hiyo haimpasi mfalme kuchukuliana nao. 9
Basi, mfalme akiona vema, na iandikwe kwamba waangamizwe; nami nitalipa
talanta kumi elfu za fedha mikononi mwao watakaosimamia shughuli hiyo,
waziweke katika hazina ya mfalme. 10 Ndipo mfalme alipoivua pete yake
mkononi, akampa Hamani bin Hamedatha, Mwagagi, adui ya Wayahudi. 11
Kisha mfalme akamwambia Hamani, Hiyo fedha umepewa, na watu pia, fanya
uonavyo vema. 12 Basi, waandishi wa mfalme wakaitwa, siku ya kumi na
tatu ya mwezi wa kwanza; na barua zikaandikwa, kama vile Hamani
alivyoagiza vyote, kwa maakida wa mfalme, na maliwali waliokuwa juu ya
kila jimbo, na wakuu wa kila taifa; kila jimbo kwa mwandiko wake, na
kila taifa kwa lugha yake; zikaandikwa kwa jinsi la mfalme Ahasuero, na
kutiwa muhuri kwa pete yake. 13 Barua zikapelekwa kwa mikono ya
matarishi mpaka majimbo yote ya mfalme kuwaangamiza Wayahudi wote, na
kuwaua, na kuwafisha, vijana kwa wazee, watoto wachanga na wanawake pia,
siku moja, yaani, siku ya kumi na tatu ya mwezi wa kumi na mbili ndio
mwezi wa Adari; na kuyachukua mali yao kuwa nyara.]…
Hawa wapelelezi huwa wanalipwa. Unaona Hamani alikuwa tayari kulipa
watakaochaguliwa na mfamle Ahusuero kuwangamiza Wayuhudi…
Sio kila mtu huwa anakuwa katika vikao vya uovu…ila anachagua walio
karibu na mkeo. Je Una mke bingwa wa kutoa mawazo.? Je yote huwa
uanayafanyia kazi?
UKIRI
Kwa jina la Yesu ninaugeza mauovu waliyoyachilia kwangu urudi kwao
walioutuma. Marafiki waliokusanya kwa ajili yangu wakakaa ili
kuniharibia kikao hicho nakisambaratisha kwa Jina la Yesu. Amen
Tunapoungumzia vikao kuna vikao vya aina mbili vya kiroho na kimwili.
UKIRI
Kwa mamlaka ya jina la Yesu nasambaratisha vikao vyote vya uovu kwa jina
la Yesu na yote
yaliopangwa yawapate wao. Kwa jina la yesu kila aliye kaa kwenye kikao
mabaya yote ywapate wao kwa jina la YESU. Amen
Copy the BEST Traders and Make Money : http://bit.ly/fxzulu
Copy the BEST Traders and Make Money : http://bit.ly/fxzulu
No comments:
Post a Comment